San Diego, California
(Elekezwa kutoka San Diego)
San Diego (yaani Mtakatifu Diego) ni mji mkubwa wa pili katika jimbo la California baada ya Los Angeles, na wa saba katika nchi nzima ya Marekani. Uko upande wa kusini-magharibi ya nchi.
Jiji la San Diego | |||
| |||
Mahali pa mji wa San Diego katika Marekani |
|||
Majiranukta: 32°42′54″N 117°09′45″W / 32.71500°N 117.16250°W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | California | ||
Wilaya | San Diego | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 1,353,993 | ||
Tovuti: www.sandiego.gov |
San Diego una wakazi milioni 1,3 katika eneo la 963.6 km².
Jina la San Diego latoka katika lugha ya Kihispania, kwa kuwa ulijengwa kandokando ya konventi ya Wafransisko iliyokuwa na jina hilo kwaheshima ya Diego wa Alkala.
Viungo vya Nje
hariri- (Kiingereza) Tovuti ya mji wa San Diego
Makala hii kuhusu maeneo ya California bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu San Diego, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |