Diego wa Alkala

Diego wa Alkala, O.F.M. (San Nicolás del Puerto, Sevilia, Hispania, 1400 hivi - Alcalá de Henares, Hispania, 12 Novemba 1463) alikuwa bruda wa shirika la Ndugu Wadogo.

Mt. Diego akiwa ametoka nje ya nafsi yake mbele ya msalaba, mchoro wa Murillo, 1645-6.
Mtakatifu Diego

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Alitangazwa kuwa hivyo na Papa Sixtus V mwaka 1588.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 12 Novemba[1].

MaishaEdit

Alifanya kazi ya umisionari katika visiwa vya Kanaria (karibu na pwani ya Moroko).

Alipohiji Roma kwa Jubilei alijitosa kuhudumia waliopatwa na tauni.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.