Sangay ni mlima wa Andes katika nchi ya Ekwador (Amerika Kusini).
Urefu wake ni mita 5,230 juu ya usawa wa bahari.