Sans Commentaire ni jina la kutaja albamu ya mwimbaji wa muziki wa dansi kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kama Madilu System. Albamu imetoka mwaka wa 1994. Utayarishaji wa albamu hii ulifanyika nchini Ufaransa katika studio ya Studio Harry Son. Ndani yake, amepata usaidizi mkubwa wa sauti za uitikiaji kutoka kwa wasanii wengine ikiwa ni pamoja na Niawou, Ballou Canta, Carlito, Djeffard Lukombo, Nyboma Mwa Dido na Shimita.

Sans Commentaire
Sans Commentaire Cover
Studio album ya Madilu System
Imetolewa 1994
Aina Soukous
Urefu 56
Lebo Studio Harry Son
Mtayarishaji Ibrahima Sylla

Orodha ya nyimbo

hariri
Wimbo Na. Jina la wimbo Dakika
1 Ya Jean 7:00
2 Pie Mboyo 6:16
3 Autoroute 5:56
4 Biya 7:31
5 Apula 6:02
6 Blessure D'Amour 5:42
7 Paradiso 57:57
8 Nzele 7:00
9 La Fleur Du Ciel 5:52
10 Beau Souvenir 5:59

Kikosi kazi

hariri
  • Sauti itikizi – Niawou, Ballou Canta, Carlito, Djeffard Lukombo, Nyboma Mwa Dido, Shimita, Tete Kitoko (nyimbo: 6), Wuta Mayi
  • Gitaa la besi – Ngouma Lokito, Pablo Lubadika (wimbo wa: 1, 8)
  • Mpangiliaji dramu, vinanda – Manou Lima
  • Dramsi – Michel Lorentz
  • Mhandisi – Mark Haliday
  • Gitaa kuu – Dally Kimoko (nyimbo: 5 hadi 7, 9, 10 ), Popolipo Zero Faute (nyimbo: 2, 4)
  • Gitaa kiongozi, imepangwa na – Syran M'Benza (nyimbo: 1, 8)
  • Waimbaji wakauu, uitikiaji – Madilu System
  • Imechanganywa na – Pierre Braner
  • Mchanganyaji msaidizi – Xavier Delbos
  • Usaidizi wa kimuziki – Ballou Canta
  • Tumba – Nody Mataba (nyimbo: 1, 8)
  • Mtayarishaji – Ibrahima Sylla
  • Mtayarishaji msaidizi – Djiba
  • Rizim-gitaa – Rogo Bamundele (nyimbo: 1, 8)
  • Rizim-gitaa, limepangwa na – Lokassa Ya Mbongo

Tazama pia

hariri

Viungo vya Nje

hariri