Santa Maria (Kabo Verde)

Santa Maria ni mji wa jamhuri ya Cabo Verde iko kisiwani Sal.

Ukiwa na wakazi 23,839 (2010) ni mji mkubwa wa tatu nchini.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Santa Maria (Kabo Verde) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.