Sarah May Yee Ho (alizaliwa 28 Oktoba 1978) ni mwamuzi wa mpira wa miguu wa Australia. Amekuwa mwamuzi msaidizi katika mashindano ya ligi za W-League na A-League . [1]

Salah Ho mnamo 2009

Alikuwa mwamuzi katika mashindano ya kombe la Dunia la FIFA la wanawake chini ya miaka 19 mwaka 2004, kombe la Dunia la FIFA la wanawake chini ya miaka 20 mwaka 2006 na kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 2007.[2] Pia alika mwamuzi msaidizi kwenye mechi za ufunguzi wa kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 2011.[3]

Aliteuliwa kuwa mwamuzi msaidizi wa kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 2015. [4] Pia mwalimu katika shule ya upili ya wasichana ya Blacktown .

Marejeo

hariri
  1. "Referee Profile". A-League. Iliwekwa mnamo 23 Januari 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Referee Profile". FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Februari 2009. Iliwekwa mnamo 23 Januari 2009. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Ante Juric. "FFA Home". Football Federation Australia. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-11. Iliwekwa mnamo 11 Julai 2015. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Referee Appointments for the 2015 Women's World Cup". FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 31 Machi 2015. Iliwekwa mnamo 1 Aprili 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sarah Ho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.