Saul Henry Amon (amezaliwa 10 Januari 1960) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Rungwe kwa mwaka 20152020. [1]

Pia ni mmiliki wa maduka na hoteli.

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017