Sebastian Rudy (amezaliwa Februari 28, 1990) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Schalke 04 na timu ya taifa ya Ujerumani.

Sebastian Rudy.

Kazi ya klabu hariri

Schalke 04 hariri

Tarehe 27 Agosti 2018}, Rudy alijiunga na Schalke 04 kwa mkataba wa miaka minne, kwa malipo yasiyojulikana.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sebastian Rudy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.