Segun Arinze

Muigizaji wa Nigeria

Segun Arinze (Segun Padonou Aina; alizaliwa 1965 [1]) ni mwigizaji na mwimbaji wa Nigeria.[2][3][4][5][6]

Maisha ya awali na elimu hariri

Segun alizaliwa Onitsha, jimbo la Anambra na baba wa kabila la Yoruba na mama wa kabila la Igbo. Ni mzaliwa wa Badagry, jimbo la Lagos. Alihudhuria Victory College of Commerce huko Ilorin, kisha akaenda Taba Commercial College iliyopo jimbo la Kaduna baada ya kumaliza elimu yake ya shule ya upili.

Alisomea Michezo ya Kuigiza katika Obafemi Awolowo University. Anafahamika almaarufu kama Black Arrow ambapo alipata jina hilo katika uhusika alioigiza.[7]

Alimuoa mwigizaji mwenzake wa Nollywood Anne Njemanze, ambae baadaye alikuja kuwa na maisha ya ndoa mafupi kuliko alioyaishi.[8] Wanandoa hao walikua na binti mmoja, Renny Morenike, aliyezaliwa tarehe 10 Mei.[9]

Kazi hariri

Alianza uigizaji ndani ya Ilorin. Mbali na uigizaji, Segun pia ni mkufunzi wa waigizaji na kwa sasa anafanya kazi na African international film festival kwa kutoa maarifa kwa kizazi kijacho cha waigizaji.[10][11][12]

Filamu zilizochaguliwa hariri

  • Women in Love
  • Anini
  • Darkest Night
  • Extra Time
  • Fragile Pain
  • Across the Niger
  • Church Business
  • To Love a Thief
  • Silent Night
  • Chronicles (with Onyeka Onwenu and Victor Osuagwu)
  • 30 Days
  • Family on Fire (2011)
  • A Place in the Stars (2014)
  • Invasion 1897 (2014)[13][14]
  • An eye for an eye
  • Deepest Cut (2018) - with Majid Michel and Zach Orji
  • The Island Movie (2018)
  • Gold Statue (2019)

Marejeo hariri

  1. "Segun Arinze’s debut album". punchng.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 August 2014. Iliwekwa mnamo 13 August 2014.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "‘The Heroes’ unites Segun Arinze, Ifeanyi Onyeabor". vanguardngr.com. Iliwekwa mnamo 13 August 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Segun Arinze, Onyeabor lead search for cultural heroes". punchng.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 August 2014. Iliwekwa mnamo 13 August 2014.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  4. "NOLLYWOOD STAR ACTOR, SEGUN ARINZE WEDS LOVER.". modernghana.com. Iliwekwa mnamo 13 August 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  5. "Segun Arinze and Ann Njemanze with Emeka Ike EXCLUSIVE". thediasporanstaronline.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-20. Iliwekwa mnamo 13 August 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. "AGN: Ejike Asiegbu, Segun Arinze back Ibinabo for re-election". vanguardngr.com. Iliwekwa mnamo 13 August 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  7. "Sequel of Segun Arinze’s ‘Black Arrow’ underway". thenationonlineng.net. 
  8. "Segun Arinze And Wife Anticipate Christmas And It’s Appealing". Koko Tv. Iliwekwa mnamo 13 October 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  9. "Segun Arinze’s Daughter Renny, Accuses him of Sending her ‘fake’ Happy Birthday Wishes on Instagram". motherhoodinstyle. Iliwekwa mnamo 11 October 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  10. "nigeria.shafaqna.com". Nigeria News (News Reader) (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-12-02. 
  11. "Segun Arinze The man once known as Nollywood’s bad boy". www.pulse.ng. Iliwekwa mnamo 2019-12-02. 
  12. Nigeria, Ckn. "My Dad Wanted Me To Be A Lawyer..Segun Arinze". Iliwekwa mnamo 2019-12-02. 
  13. "Lancelot Imasuen’s Invasion 1897 hits cinemas Dec 5". The Sun. Our Reporter. Iliwekwa mnamo 16 November 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  14. "'Invasion 1897' Lancelot Imaseun's movie set for cinema release". Pulse Nigeria. Chidumga Izuzu. Iliwekwa mnamo 26 November 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Segun Arinze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.