Selerino wa Karthago

Selerino wa Karthago (alifariki 251) alikuwa Mkristo wa mji huo (karibu na Tunisi ya leo) katika karne ya 3.

Kama Selerina, Laurenti na Ignasi, ndugu wa wazazi wake, alikubali kuteswa na hatimaye kuuawa kwa ajili ya imani yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa hasa tarehe 3 Februari[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Selerino wa Karthago kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.