Selina Cerci (alizaliwa 31 Mei 2000) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Turbine Potsdam na timu ya taifa ya wanawake ya Ujerumani.[1]

Selina Cerci

Marejeo hariri

  1. "Women Friendlies 2022 » February » Germany – Spain 1:1". WorldFootball.net. 17 February 2022. Iliwekwa mnamo 17 February 2022.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Selina Cerci kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.