Semmy Kessy
Mchezaji wa soka Tanzania
Semmy Kessy alizaliwa (30 Novemba 1984) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania, ambaye alicheza kama mshambuliaji.
Semmy Kessy | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Tarehe ya kuzaliwa | 30 Oktoba 1984 | |
Mahala pa kuzaliwa | Tanzania | |
Nafasi anayochezea | Mshambuliaji | |
Timu ya taifa | ||
Timu ya Taifa ya Tanzania | ||
* Magoli alioshinda |
Klabu
haririKessy alichezea vilabu mbalimbali vya soka nchini Tanzania, ikiwa ni pamoja na Young Africans (2003), Bandari FC (2005), African Lyon (2011 - 2013), Toto Africa (2010) na Madini FC (2014 - 2017).[1] Pia alichezea vilabu kadhaa nje ya mipaka ya Tanzania, ikiwa ni pamoja na klabu ya La Passe FC (2014) iliyupo katika visiwa vya La Digue.[2]
Ushiriki Kimataifa
haririAlishiriki mashindano mbalimbali ya Kimataifa katika Timu ya Taifa ya Tanzania, ikiwa ni pamoja na michuano ya kombe la CECAFA mwaka 2005.[3]
Marejeo
hariri- ↑ Benjamin Strack-Zimmermann. "Semmy Kessy (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-16.
- ↑ Benjamin Strack-Zimmermann. "La Passe FC (2014)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-16.
- ↑ Benjamin Strack-Zimmermann. "CECAFA Cup (2005) | Final Tournament | Group Stage | Group A". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-16.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Semmy Kessy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |