Semuto ni mji katika Mkoa wa Kati huko Uganda. Ni moja ya maeneo ya mji katika Wilaya ya Nakaseke.

Mahali pa Semuto katika ramani ya Uganda kama ambavyo inaonekana katika majiranukta 00°37′12″N 32°19′40″E / 0.62000°N 32.32778°E / 0.62000; 32.32778

Mahali hariri

Semuto iko takribani kilomita 36 (maili 22 ), kwa barabara, kaskazini magharibi mwa Matugga kwenye barabara ya Matugga - Kapeeka.[1]

Marejeo hariri

  1. "Road Distance Between Matugga And Semuto With Map". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 20 July 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)