Serge Ibaka
Serge Ibaka (alizaliwa 18 Septemba 1989) ni mchezaji wa mpira wa kikapu anayeichezea timu ya Toronto Raptors katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu (NBA).
Ibaka alichaguliwa katika timu ya Oklohama City Thunder kama chaguo la 24 mnamo mwaka 2008. Amefanikiwa kuteuliwa katika timu ya kwanza ya mastaa wakabaji bora Marekani kwa mara tatu na pia alishinda mara mbili kama mchezaji mzuiaji bora. Ijapokua, Ibaka amezaliwa katika nchi ya Jamuhuri ya Kongo lakini huichezea timu ya mpira wa kikapu ya Hispania kwenye mashindano ya kimataifa
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Serge Ibaka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |