Serra da Estrela

Serra da Estrela ni mlima wa Ureno (Ulaya).

Mlima Serra da Estrela

Urefu wake ni mita 1,993 juu ya usawa wa bahari. Hivyo ni wa juu kuliko milima yote ya Ureno bara.


Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ureno bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Serra da Estrela kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.