Seth Rogen (amezaliwa tar. 15 Aprili 1982) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Kanada.