Severine Niwemugizi

Severine Niwemugizi (amezaliwa 3 Juni 1956) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Askofu Mkuu Anthony Peter Mayala mwaka wa 1997. Tangu mwaka huo, ni askofu wa Jimbo la Rulenge-Ngara.

Pia ni mkurugenzi wa Radio Kwizera Ngara.

Aliwahi kuwa rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (2000-2006).

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Severine Niwemugizi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.