Shaibu

(Elekezwa kutoka Shahibu)

Shaibu (kutoka neno la Kiarabu; pia: kizee) ni mwanamume aliye mzee sana, k.mf. baba yake babu au bibi, pia babu yake baba au mama.

Mzee akiongozwa na mtoto.
Makala hii kuhusu "Shaibu" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.