Sheria ya Uhifadhi Wanyamapori ya 1997 (Jimbo la Sabah)

Sheria ya Uhifadhi Wanyamapori ya 1997 (Kimalay: Enakmen Pemeliharaan Hidupan Liar 1997) ni sheria ya kikanda inayotekelezwa katika jimbo la Sabah katika fukwe za Borneo huko Malaysia[1]. Malengo yake ni kulinda viumbe(spishi) walio katika hatari ya kupotea ambao ni mimea pamoja na wanyama [2]katika eneo hili pamoja na kudhibiti biashara ya kimataifa ya spishi hizi.Pia inaelezea adhabu maalum kwa wale wanaovunja sheria na kanuni zilizowekwa katika sheria.

Marejeo hariri

  1. "In Malaysian Borneo’s rainforests, powerful state governments set their own rules". Mongabay Environmental News (kwa en-US). 2021-02-18. Iliwekwa mnamo 2022-05-18. 
  2. ABT Creative Team. "Endangered Animals in Borneo You Need to See Before It’s Too Late". www.amazingborneo.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-18.