Shinji Okazaki (岡崎 慎司; alizaliwa 16 Aprili 1986) ni mchezaji wa soka wa Japani ambaye anachezea klabu ya Uingereza Leicester City FC na timu ya taifa. Yeye hucheza kama kiungo au mshambuliaji.

Nchini kwake, yeye ni mshambuliaji wa kwanza mwenye nguvu na ndiye mwenye magoli mengi kuliko washambuliaji wote wa Japani waliowahi kutokea. Pia aliisaidia timu yake ya Leicester mwaka 2016 kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza.

Takwimu

hariri

[1]

Timu ya Taifa ya Japani
Mwaka Mechi Magoli
2008 4 0
2009 16 15
2010 15 3
2011 14 8
2012 9 3
2013 14 7
2014 13 4
2015 13 7
2016 8 2
2017 5 1
2018 5 0
2019 3 0
Jumla 119 50

Tanbihi

hariri
  1. Shinji Okazaki at National-Football-Teams.com
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shinji Okazaki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

[[Jamii:{{ #if:1986|Waliozaliwa 1986|Tarehe ya kuzaliwa