Shirikisho la Mpira wa Kikapu Rwanda
Shirikisho la Mpira wa Kikapu Rwanda (Kingereza: Rwandan Amateur Basketball Federation, Kifaransa: Fédération Rwandaise de Basketball Amateur )[1] ni bodi inayosimamia mpira wa kikapu nchini Rwanda. Inaendesha timu ya taifa ya mpira wa kikapu Rwanda vile vile NBL daraja la juu na ligi nyingine.
Historia
haririMpira wa kikapu nchini Rwanda uliletwa mwaka 1930, Na mapadri wa kikatoloki pia mchezo wa kwanza ulichezwa katika shule ya upili uko Mkoa wa kusini. Baada ya nchi kupata uhuru mwaka 1962, timu mpya ziliundwa jeshini na baadhi ya taasisi za umma. Mwaka 1974, shirikisho la mpira wa kikapu Rwanda lilizaliwa na miaka mitatu mbele ligi ya kwanza kitaifa ilianzishwa.[2]
Marejeo
hariri- ↑ "Rwanda Basketball Federation – FERWABA" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-09-01.
- ↑ "Rwanda Basketball Federation", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-02-20, iliwekwa mnamo 2022-09-01