Shomari Kapombe
Mwanasoka wa Tanzania
Shomari Salum Kapombe, alizaliwa 28 Januari 1992 ni mchezaji wa Mpira wa miguu wa Tanzania, ambaye kwa sasa anacheza kwenye klabu ya Simba S.C. na timu ya Taifa ya Tanzania.
Aliwahi kucheza Moro Kids kabla ya kwenda Azam F.C. na Simba S.C.
Upande wa elimu amehitimu kidato cha nne Shule ya Sekondari Lupanga mjini, mkoani Morogoro mnamo mwaka 2010.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shomari Kapombe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |