Shorobo uzuri
(Elekezwa kutoka Shorobo Uzuri)
Shorobo uzuri | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Picha ya Shorobo uzuri
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Shorobo uzuri (Musophaga rossae) ni ndege wa Afrika wa rangi ya buluu wa familia ya Musophagidae.
Spishi hii hupatikana katika nchi za Angola, Botswana, Burundi, Cameroon, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Gabon, Kenya, Rwanda, Sudan, Tanzania, Uganda na Zambia.
Ndege hawa hupatikana sana wakifugwa.
Picha
haririTanbihi
hariri- Tanzaniabirds.net: Ross's turaco
Makala hii kuhusu ndege fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shorobo uzuri kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |