Shule ya Sekondari ya Pugu

Shule ya Sekondari ya Pugu (zamani "St. Francis") iko katika eneo la Pugu ndani ya Dar es Salaam, karibu na Gongolamboto nchini Tanzania.

Shule hiyo ya sekondari ilianzisha jina la la 'mwalimu' la rais wa zamani wa Tanganyika, "Mwalimu" Julius Nyerere. Jina "mwalimu" lilikuja kama matokeo ya kufundisha katika shule ya sekondari ya Pugu; mwanzoni mwa miaka ya 1950, alikuwa mwalimu mzawa pekee katika shule hiyo.[1]

Marejeo hariri

  1. "Pugu Secondary School Dar es Salaam | Education | Tanzania | SaaHiiHii". www.saahiihii.com. Iliwekwa mnamo 2021-06-22. 
  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shule ya Sekondari ya Pugu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.