Gongo la Mboto

Gongo la Mboto ni kata ya wilaya ya Ilala katika jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania.

Gongo la Mboto iko takriban kilomita 17 kutoka kitovu cha jiji kwa kufuata Barabara ya Julius K. Nyerere na kupita Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Wakati wa sensa ya mwaka 2012 ilikuwa na wakazi 57,312.[1]

Postikodi yake ni namba 12110.

Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala kinapatikana huko.

TanbihiEdit

  Kata za Wilaya ya Ilala - Tanzania  

BuguruniChanikaGerezaniGongo la MbotoIlalaJangwaniKariakooKimangaKinyereziKipawaKisutuKitundaKivukoniKiwalaniMajoheMchafukogeMchikichiniMsongolaPuguSegereaTabataUkongaUpanga MagharibiUpanga MasharikiVingunguti