Shume ni kata ya Wilaya ya Lushoto katika Mkoa wa Tanga, Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 13,288 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 12,251 waishio humo.

Wakati wa ukoloni wa Kijerumani, Shume iliitwa Neu-Hornow (tamka "noi horno") ikawa kituo cha kupasua mbao kwa ajili ya ujenzi. Kituo kilimilikiwa na kampuni ya Wilkins & Wiese kutoka mjini Hamburg, Ujerumani. Mbao zilishushwa kilomita 9 hadi kituo cha reli kwa kutumia vigari vya kamba[2].

Marejeo

hariri
  Kata za Wilaya ya Lushoto - Mkoa wa Tanga - Tanzania  

Dule "M" | Gare | Hemtoye | Kilole | Kwai | Kwekanga | Kwemashai | Kwemshasha | Lukozi | Lunguza | Lushoto | Magamba | Makanya | Malibwi | Malindi | Manolo | Mbaramo | Mbaru | Mbwei | Migambo | Mlalo | Mlola | Mnazi | Mng'aro | Mtae | Mwangoi | Ngulwi | Ngwelo | Rangwi | Shagayu | Shume | Sunga | Ubiri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Shume kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.