Wilaya ya Lushoto ni kati ya wilaya 11 za Mkoa wa Tanga nchini Tanzania.

Ramani ya mahali pa wilaya ya Lushoto katika mkoa wa Tanga

Wilaya ya Lushoto ni sehemu ya milima ya Usambara. Inapakana na Wilaya ya Muheza na nchi ya Kenya upande wa kaskazini. Upande wa mashariki-kusini imepakana na Wilaya ya Korogwe. Upande wa magharibi imepakana na Wilaya ya Korogwe na Mkoa wa Kilimanjaro.

Mwaka 2012 ilikuwa na wakazi 492,441 walioishi katika kata 43 za wilaya hii. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 350,958 [1] katika tarafa 4, kata 29 na vijiji 118.

Wenyeji asilia ni Wasambaa na Wambugu.

Utawala

hariri

Wilaya imegawanyika katika tarafa nane za Lushoto, Soni , Bumbuli, Mgwashi, Mlola, Mlalo, Mtae na Umba na kata 44.

Marejeo

hariri
  1. https://www.nbs.go.tz

Viungo vya Nje

hariri
  Kata za Wilaya ya Lushoto - Mkoa wa Tanga - Tanzania  

Dule "M" | Gare | Hemtoye | Kilole | Kwai | Kwekanga | Kwemashai | Kwemshasha | Lukozi | Lunguza | Lushoto | Magamba | Makanya | Malibwi | Malindi | Manolo | Mbaramo | Mbaru | Mbwei | Migambo | Mlalo | Mlola | Mnazi | Mng'aro | Mtae | Mwangoi | Ngulwi | Ngwelo | Rangwi | Shagayu | Shume | Sunga | Ubiri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Lushoto kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.