Sibonile Nyamudeza

Sibonile Nyamudeza ndiye mgombea aliyeshinda MDC-T wa Chipinge Magharibi katika uchaguzi wa Machi 2008 nchini Zimbabwe . Alizaliwa Tanganda huko Chipinge tarehe 10 Machi 1967. Baada ya kumaliza elimu yake ya sekondari katika Shule ya Upili ya Gideon Mhlanga, Mhe. Nyamudeza alisomea taaluma ya uhandisi wa mashine, aliyoipata mwaka 1987.

Kisha alifanya kazi kwenye Wizara ya Ujenzi wa Umma kabla ya kuanza biashara yake ya ujenzi. Nyamudeza alijiunga na MDC mwaka 2002 na kushika nafasi ya makamu mwenyekiti wa kata.

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sibonile Nyamudeza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.