Sibori (chombo)
Kwa maana nyingine ya neno hili, tazama Sibori (altare).
Sibori (kutoka Kilatini ciborium) ni chombo cha thamani kinachotumika katika Ukristo kwa ajili ya ibada ya ekaristi, hasa kuwekea hostie za kukomunisha waumini.
Picha
hariri-
Sibori za karne ya 18 hadi ya 20, Our Lady of Manaoag Museum, Ufilipino
-
Sibori mbalimbali, Our Lady of Manaoag Museum, Ufilipino
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sibori (chombo) kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |