Sibori (altare)
Kwa maana nyingine ya neno hili, tazama Sibori (chombo).
Sibori (kutoka Kigiriki: κιβώριον, kiborion) ni aina ya paa ambalo kwa kawaida linategemezwa na nguzo nne na matao kufunika altare katika makanisa mbalimbali, hasa ya zamani.
Viungo vya nje
hariri- Marcantonio Architects blog Ilihifadhiwa 12 Agosti 2011 kwenye Wayback Machine.: "Parts of the church building: the ciborium
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sibori (altare) kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |