Sidney Altman

Mwanabiolojia wa Molekuli wa Kanada (1939-2022)

'

Sidney Altman
Sidney Altman mwaka 2012
Amezaliwa7 Mei 1939
Kazi yakemwanakemia kutoka nchi ya Kanada


Sidney Altman (amezaliwa 7 Mei 1939) ni mwanakemia kutoka nchi ya Kanada. Hasa alichunguza sifa za DNA. Mwaka wa 1989, pamoja na Thomas Cech alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sidney Altman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.