Sigfrid Selemani Ng'itu

Sigfrid Selemani Ng'itu (amezaliwa tar. 1 Januari 1954) ni mbunge wa jimbo la Ruangwa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Sigfrid Selemani Ng'itu". 17 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.