Silvestry Fransis Koka

Sylvestry Francis Koka ni mfanyabiashara, mjasiriamali wa Tanzania, mmiliki wa SF Group of Companies Limited. Kampuni hii ina miliki makampuni ndani na nje ya nchi ya Tanzania. Miongoni ya makampuni hayo ni AKO Group Limited, Masyl General Enterprises Ltd, Cherry Garments and Safety Solution Ltd, Cherry Hotels,Excel Geodata SARL, Strategic Business Solution Ltd, Malimo Agro Products Limited, SF Ulinzi Ltd, Nasaba Hospitality Ltd, Power Magic Electrical Contractors Ltd, Great Vision adventures Ltd, Equpoint Properties Ltd, SF Mag SARL, Radiance Micro Finance na Radiance Insurance brokers. SF Group of Companies Limited ina wafanyakazi takriban elfu 2 (2000). AKO Group Limited ndio kampuni Mama ya makampuni yote ikiwa na Takriban wafanyakazi 1600 [1].

Kama mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM alichaguliwa kuwa mbunge wa Kibaha Mjini kwa miaka 20152020. [2]

Marejeo hariri

  1. www.sfgroup.co.tz - www.akogroup.co.tz
  2. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017