Simona Bordoni

Mtaalam wa hali ya hewa wa Amerika

Simona Bordoni (alizaliwa mwaka 1972) ni mtaalam wa hali ya hewa kutokea nchini Italia na profesa wa sayansi ya mazingira na uhandisi ambaye anaongoza Kikundi cha Utafiti cha Simona Bordoni katika Chuo Kikuu cha Teknolojia cha California.

Kazi hariri

Bordoni alipokea Shahada ya Sayansi ya masula ya hali ya hewa kutoka UCLA mwaka 2003, na shahada yake ya Uzamivu ya Sayansi ya Hewa na Bahari kutoka UCLA mwaka 2007.

Bordoni na Tapio Schneider wana karatasi iliyonukuliwa juu ya mwanzo wa monsuni ya Asia ambayo ilitumia modeli ya masuala ya hali ya hewa kuonesha kuwa monsoon ni mabadiliko kati ya maeneo mawili yaliyo katika mzunguko kijiografia.[1] Simone pia amefanya kazi na Salvatore Pascale kuchunguza udhaifu wa Monsuni ya Amerika ya Kaskazini na matokeo yake kwa rasilimali za maji.[2] Uchambuzi wake wa upepo wa bahari juu ya Ghuba ya California na kaskazini-mashariki mwa Bahari ya Pasifiki uligundua kuwa kuanza kwa msimu wa kiangazi kunasindikizwa na mabadiliko ya msimu wa kuelekea upepo kando ya Ghuba.[3]

Maeneo ya Maslahi hariri

Monsuni, mabadiliko ya Kitropiki, mabadiliko ya Hali ya Hewa yanayo ingiliana katikati ya mzunguko mdogo wa kieneo na mzunguko mkubwa kijiografia[4]

Tuzo hariri

  • Tuzo ya Mwanasayansi Mchanga wa ISSNAF (Italian Scientists and Scholars of North America Foundation) katika Sayansi za Mazingira mwaka 2014[5]
  • Tuzo ya James R. Holton mwanasayansi kijana mwaka 2009

Marejeo hariri

  1. Tapio Schneider; Bordoni, Simona (Agosti 2008). "Monsoons as eddy-mediated regime transitions of the tropical overturning circulation". Nature Geoscience 1 (8): 515–519. Bibcode:2008NatGe...1..515B. ISSN 1752-0908. doi:10.1038/ngeo248. 
  2. Pascale, Salvatore; Boos, William R.; Bordoni, Simona; Delworth, Thomas L.; Sarah B. Kapnick; Murakami, Hiroyuki; Vecchi, Gabriel A.; Zhang, Wei (Novemba 2017). "Weakening of the North American monsoon with global warming". Nature Climate Change (kwa Kiingereza) 7 (11): 806–812. Bibcode:2017NatCC...7..806P. ISSN 1758-6798. doi:10.1038/nclimate3412.  Unknown parameter |hdl= ignored (help)
  3. Bordoni, Simona; Ciesielski, Paul E.; Johnson, Richard H.; McNoldy, Brian D.; Stevens, Bjorn (2004). "The low-level circulation of the North American Monsoon as revealed by QuikSCAT". Geophysical Research Letters 31 (10): n/a. Bibcode:2004GeoRL..3110109B. ISSN 1944-8007. doi:10.1029/2004GL020009.  Unknown parameter |hdl-access= ignored (help); Unknown parameter |s2cid= ignored (help); Unknown parameter |hdl= ignored (help)
  4. "Kikundi cha Utafiti cha Simona Bordoni katika Caltech". web.gps.caltech.edu. Iliwekwa mnamo 2020-03-07. 
  5. "ISSNAF AWARD LAUREATE - ISSNAF - Italian Scientists and Scholars in North America Foundation". www.issnaf.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-09-09. Iliwekwa mnamo 2019-04-12.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)