Sirili na wenzake 6 (walifariki Galatz, Mesia, leo nchini Romania, karne ya 3) walikuwa Wakristo wa Roma ya Kale waliofia imani yao[1].

Kwa sababu hiyo tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini[2].

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 12 Mei[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.