Siro wa Pavia (alifariki Pavia, Italia, karne ya 4) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo (Italia Kaskazini).

Mt. Siro.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni 9 Desemba[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Hippolyte Delehaye, The Legends of the Saints (Dublin, Four Courts Press, 1955), 37.
  • N. Everett, "The Earliest recension of the Life of S. Sirus of Pavia (Vat. lat. 5771)", Studi Medievali 43 (2002), 857-957 (Latin text, Eng. trans., commentary).
  • N.Everett, Patron Saints of Early Medieval Italy AD c.350-800. History and Hagiography in Ten Biographies. PIMS / Durham University Press, 2016.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.