Sitara Achakzai
Sitara Achakzai (pia anajulikana kama Achaksai; 1956/1957 - 12 Aprili 2009) alikuwa mwanaharakati mashuhuri wa haki za wanawake na mwanachama wa bunge la kikanda jijini Kandahar, Afghanistan. Aliuawa na Taliban.[1][2][3]
Achakzai ni jina linaloshirikishwa na moja ya makabila ya chini ya kabila la Durrani, sehemu ya Watu wa Pashtun, moja ya makundi makubwa zaidi ya kikabila nchini Afghanistan. Alikuwa na uraia kati ya Afghanistan na Ujerumani,[4] na alikuwa maarufu nchini Canada.[5]
Kifo
haririSitara Achakzai alishambuliwa na Taliban kwa sababu alikuwa akijaribu kuboresha hali ya wanawake wa Afghanistan. Akiwa na umri wa miaka 52, aliuawa na wanaume wa Taliban jijini Kandahar mnamo tarehe 12 Aprili 2009.
Sifa
hariri- "Alikuwa shujaa, alikuwa mwanamke jasiri na daima alipigania haki za wanawake na haki za maskini; ndio maana hawakumpenda.[7]
Marejeo
hariri- ↑ "Copied". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Juni 2011. Iliwekwa mnamo 26 Februari 2010.
- ↑ "Taliban claims responsibility for killing female politician in Kandahar". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Novemba 2017. Iliwekwa mnamo 8 Mei 2017.
{{cite web}}
: Cite has empty unknown parameter:|1=
(help) - ↑ "Options d'achat – NewsPostOnline.com". www.newspostonline.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Julai 2012. Iliwekwa mnamo 8 Mei 2017.
- ↑ Taarifa ya Heidemarie Wieczorek-Zeul (Waziri Mkuu wa Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo wa Ujerumani) (kwa Kijerumani)
- ↑ "ripoti ya Globe and Mail".
- ↑ Afghanistan.gc.ca; Afghanistan.gc.ca (26 Juni 2013). "Afghanistan.gc.ca". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-19. Iliwekwa mnamo 8 Mei 2017.
{{cite web}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - ↑ "ripoti ya Globe and Mail kuhusu mauaji ya Sitara Achakzai".
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sitara Achakzai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |