Skövde ni mji nchini Uswidi. Kuna wakazi 33,119 (mwaka 2005).

Ukumbi wa Skövde
Skövde in Sweden.png

JiografiaEdit

Eneo lake ni 19.78 km². Umbali na Jiji la Göteborg ni 150 km.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Skövde kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.