Skagerak

(Elekezwa kutoka Skagerrak)

Skagerak ni mlango wa bahari kati ya Norway na Denmark karibu na mji wa Skagen. Skagerak inahesabiwa kuwa sehemu ya Bahari ya Kaskazini. Upande wa Mashariki inaanza Kattegat.

Skagerak kati ya Norway, Uswidi na Denmark.
Skagerak kati ya Norway, Uswidi na Denmark.

Karibu na pwani la Norway kuna mfereji wenye kina kubwa hadi 770 m chini ya UB. Mafuta na gesi zinapatikana kwa njia ya pampu kutoka eneo chini ya bahari.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Skagerak kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.