Sophia Kleinherne

mchezaji wa mpira wa miguu

Sophia Kleinherne (alizaliwa 12 Aprili 2000) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama beki wa klabu ya wanawake ya Eintracht Frankfurt na timu ya taifa ya Ujerumani.[1]

Sophia Kleinherne

Mnamo Januari 2020, alitajwa na UEFA kama mmoja wa wachezaji vijana 10 wanaoleta matumaini makubwa huko Ulaya[2]

Marejeo hariri

  1. Aumüller, Ralf. "Sophia Kleinherne hat noch ein ganz großes Ziel", Westfälische Nachrichten, 10 March 2018. (de) 
  2. "Ten for the future: UEFA.com's women players to watch for 2020", UEFA, 2 January 2020. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sophia Kleinherne kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.