Soprano

Mwanamuziki wa Tanzania

Francis Xavery Ndumbaro au Soprano (amezaliwa 2 Mei 1984) ni mwimbaji wa muziki wa R&B na Bongo Flava kutoka nchini Tanzania.

Soprano
Soprano katika pozi
Soprano katika pozi
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Francis Xavery Ndumbaro
Amezaliwa 2 Mei 1984 (1984-05-02) (umri 39)
Kiwalani, Ilala, Dar es Salaam, Tanzania
Asili yake Songea
Aina ya muziki Pop, R&B, dance-pop, Bongo Flava
Kazi yake Mwimbaji, Mutnzi wa nyimbo, Mwigizaji
Studio AM Records
Ame/Wameshirikiana na Dknob
Ommy G.
P. One
Cyrill

Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kuimba nyimbo za Kausha na Pamoja Nawe ambazo alimshirikisha mwimbaji mwingine wa hip hop na Bongo Flava, Dknob.

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Soprano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.