St. Joseph University in Tanzania

St. Joseph University in Tanzania ni chuo kikuu binafsi cha uhandisi na teknolojia kilichopo nchini Tanzania kikiwa chini ya usimamizi wa shirika la kitawa la DMI (Daughters of Mary Immaculate).

Caption text


Kina campus tatu ambazo ni: St. Joseph College of Engineering and Technology (kinapatikana Mbezi Kibamba), kampasi ya Makambako iitwayo St. Joseph College of Business, na kampasi ya Boko iitwayo St. Joseph College of Health and Allied Science.

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu St. Joseph University in Tanzania kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.