Stadio Olimpico

Stadio Olimpico ni uwanja wa michezo unaopatikana katika jiji la Roma, Italia. Uwanja huu unamilikiwa na Kamati ya Olimpiki ya taifa la Italia na sanasana hutumiwa kwa ajili ya mpira wa miguu.

Stadio Olimpico ukiwa katika matengenezo.
Uwanja kutoka juu.

Stadio Olimpico ni uwanja wa nyumbani wa klabu za Lazio S.S. na AS Roma na pia unatumika katika fainali ya Coppa Italia.

Uwanja huu una uwezo wa kuketisha watu takriban 70,634.

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stadio Olimpico kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.