Kamati (kutoka neno la Kiingereza "committee") ni kundi la watu walioteuliwa au kuchaguliwa kwa ajili ya kazi maalum.

Mara nyingi huteuliwa miongoni mwa wajumbe wa kikundi (kikundi kikubwa) na wakati mwingine hutarajiwa pia kufanya utafiti wa kina kuhusu jambo maalum kwa muda fulani na hatimaye kutoa mapendekezo kulingana na matokeo ya utafiti wao.

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kamati kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.