Stanley Mathenge wa Mirugi (alizaliwa 1919; alipotea 1955) alikuwa kiongozi wa kijeshi wa Kenya wakati wa uasi wa Mau Mau.[1]

Marejeo

hariri
  1. Marshall S. Clough: Mau Mau memoirs: history, memory, and politics Lynne Rienner Publishers, 1998. ISBN 1-55587-537-8
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stanley Mathenge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.