Star Tv (Tanzania)

Star Tv (Tanzania) ni kituo cha televisheni cha nchini Tanzania kinachomilikiwa na kampuni ya Sahara Media Group. Kituo hiki cha televisheni makao yake makuu yapo jijini Mwanza ila ina ofisi zake Dar es Salaam.