"Stay" ni wimbo wa kwanza kutoka katika albamu ya Ne-Yo ya In My Own Words. Albamu imepata kumshirikisha rapa Peedi Peedi na ilitayarishwa na Ron "Neff-U" Feemstar.

“Stay”
“Stay” cover
Single ya Ne-Yo akimshirisha Peedi Peedi
kutoka katika albamu ya In My Own Words
Imetolewa 2 Agosti 2005 (US)
Muundo CD single, music download, vinyl
Imerekodiwa 2005
Aina R&B, rap
Urefu 3:51
Studio Island Def Jam
Mtunzi S. Smith, R. Feemstar, R. Blaylock, S. Ridge Jr., P. Zayaz, M. DeBarge, E. Jordan
Mtayarishaji Ron "Neff-U" Feemstar
Mwenendo wa single za Ne-Yo akimshirisha Peedi Peedi
"Stay"
(2005)
"So Sick"
(2006)
Kasha lingine
Kasha lingine

Video ya "Stay" ilipata kurushwa hewani na BET na VH1 kunako mwezi wa Septemba ya mwaka wa 2005, na katika TRL ilikwenda kunako mwezi Novemba 2005. Wimbo huu ulifeli kuingia katika chati za Billboard Hot 100 bora pale ulitolewa kwa mara ya kwanza nchini Marekani kunako 2005, japokuwa, wimbo umehakikiwa kufanya vizuri katika chati za muziki wa R&B, kwa kushika na ya 36, na kuufanya kuwa wimbo pekee wa Ne-Yo kufanya hovyo katika medani ya muziki huo akiwa kama msanii wa kujitegemea.

Orodha ya nyimbo

hariri
CD:
  1. "Stay" (akimshirikisha Peedi Peedi) (ina kurap kwa ajili ya redio)
  2. "Stay" (toleo rasmi)
12" Vinyl
  1. "Stay" (akimshirkisha Peedi Peedi)

Charts

hariri
Chati (2005) Imeshika
nafasi
U.S. Billboard Nyimbo Bora za R&B/Hip-Hop 36
Finland Singles Chart[1] 8

Marejeo

hariri
  1. Ne-Yo - Stay - Music Charts αCharts. Accessed 20 Septemba 2008.

Viungo vya nje

hariri