In My Own Words
In My Own Words ni albamu ya kwanza ya mwimbaji-mtunzi wa R&B Ne-Yo. Albamu ilitoka mnamo tar. 28 Februari 2006. Nyimbo nne zilipata kutolewa katika albamu hii, "Stay", "So Sick", "When You're Mad", na "Sexy Love".
In My Own Words | |||||
---|---|---|---|---|---|
Kasha ya alabamu ya In My Own Words.
|
|||||
Studio album ya Ne-Yo | |||||
Imetolewa | 28 Februari 2006 | ||||
Imerekodiwa | 2005 | ||||
Aina | R&B, pop | ||||
Urefu | 53:15 | ||||
Lugha | Kiingereza | ||||
Lebo | Def Jam | ||||
Mtayarishaji | Stargate, Shea Taylor, Ron Feemstar, Curtis Wilson | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Ne-Yo | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya In My Own Words | |||||
|
Wimbo wa kwanza kutolewa ulikuwa, "Stay", lakini hakumpa mafanikio makubwa na kuufanya kuwa wimbo pekee wa Ne-Yo, ambao haukupata kufikia chati za Billboard Hot 100 bora. Albamu ilipata kushika nafasi ya kwanza katika Billboard 200 kwa kuuza nakala zipatazo 301,000 katika wiki ya kwanza.
Badala ya hapo, kunako mwezi Agosti 2006, Ne-Yo akaanza kufanya matamasha na kuzunguka katika miji ya mbalimbali huku akiwa na baadhi ya wasanii wenzake kama vile Chris Brown na Dem Franchize Boyz. Baadaye albamu ikafikia kiwango cha platinam 1 kwa kuuza nakala mil. 1.6 kwa Marekani, na kopi milioni 2 kwa mauzo ya dunia nzima.
Maelezo
haririNe-Yo ndiyo alioandika nyimbo za albamu nzima. Watayarishaji wa Kinorwei (Stargate) wametayarisha wimbo wa, "So Sick", na pia wamechangia mawili-matatu katika wimbo wa "Sexy Love", "Let Go", na "Time" kwa ajili ya LP ya kwanza.
Watayarishaji wengine katika albamu hii ni kama vile Ron "Neff-U" Feemstar, Brain "B-Nasty" Reed, na Jai "King" Titus of Drama Family Entertainment, ambaye ametayarisha wimbo wa kwanza, "Stay", na "Sign Me Up". "Let Me Get This Right" ni kazi nyingine ya wana Drama Family Entertainment.
Orodha ya nyimbo zilizopo
hariri# | Jina | Watayarishaji | Muda |
---|---|---|---|
1 | "Stay" (akimshirikisha Peedi Peedi) | Drama Family Entertainment | 3:54 |
2 | "Let Me Get This Right" | Drama Family Entertainment | 3:47 |
3 | "So Sick" | Stargate | 3:27 |
4 | "When You're Mad" | Shea Taylor | 3:43 |
5 | "It Just Ain't Right | Curtis "Sauce" Wilson | 3:48 |
6 | "Mirror" | Shea Taylor | 3:48 |
7 | "Sign Me Up" | Drama Family Entertainment | 3:27 |
8 | "I Ain't Gotta Tell You" | Boola | 3:17 |
9 | "Get Down Like That" | Ervin "EP" Pope | 4:05 |
10 | "Sexy Love" | Stargate | 3:40 |
11 | "Let Go" | Stargate | 3:48 |
12 | "Time" | Stargate | 3:29 |
13 | "Girlfriend" (UK bonus track) | 4:00 | |
14 | "Get Down Like That (Remix)" (akimshirikisha Ghostface Killah) (UK bonus track) | Urban "EP" Pope | 4:57 |
Chati
haririChati (2006) | Nafasi Iliyoshika |
---|---|
Australian ARIA Albam na Chati za Mjini[1] | 41 |
Austrian Albums Chart | 63 |
Dutch Albums Chart[1] | 50 |
French Albums Chart[1] | 20 |
German Albums Chart | 27 |
New Zealand RIANZ Albums Chart | 35 |
Swiss Music Charts[1] | 11 |
UK Albums Chart[1] | 14 |
U.S. Billboard 200 | 1 |
U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums | 1 |