Stay
(Elekezwa kutoka Stay (wimbo wa Ne-Yo))
"Stay" ni wimbo wa kwanza kutoka katika albamu ya Ne-Yo ya In My Own Words. Albamu imepata kumshirikisha rapa Peedi Peedi na ilitayarishwa na Ron "Neff-U" Feemstar.
“Stay” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Ne-Yo akimshirisha Peedi Peedi kutoka katika albamu ya In My Own Words | |||||
Imetolewa | 2 Agosti 2005 (US) | ||||
Muundo | CD single, music download, vinyl | ||||
Imerekodiwa | 2005 | ||||
Aina | R&B, rap | ||||
Urefu | 3:51 | ||||
Studio | Island Def Jam | ||||
Mtunzi | S. Smith, R. Feemstar, R. Blaylock, S. Ridge Jr., P. Zayaz, M. DeBarge, E. Jordan | ||||
Mtayarishaji | Ron "Neff-U" Feemstar | ||||
Mwenendo wa single za Ne-Yo akimshirisha Peedi Peedi | |||||
| |||||
Kasha lingine | |||||
Video ya "Stay" ilipata kurushwa hewani na BET na VH1 kunako mwezi wa Septemba ya mwaka wa 2005, na katika TRL ilikwenda kunako mwezi Novemba 2005. Wimbo huu ulifeli kuingia katika chati za Billboard Hot 100 bora pale ulitolewa kwa mara ya kwanza nchini Marekani kunako 2005, japokuwa, wimbo umehakikiwa kufanya vizuri katika chati za muziki wa R&B, kwa kushika na ya 36, na kuufanya kuwa wimbo pekee wa Ne-Yo kufanya hovyo katika medani ya muziki huo akiwa kama msanii wa kujitegemea.
Orodha ya nyimbo
hariri- CD:
- "Stay" (akimshirikisha Peedi Peedi) (ina kurap kwa ajili ya redio)
- "Stay" (toleo rasmi)
- 12" Vinyl
- "Stay" (akimshirkisha Peedi Peedi)
Charts
haririChati (2005) | Imeshika nafasi |
---|---|
U.S. Billboard Nyimbo Bora za R&B/Hip-Hop | 36 |
Finland Singles Chart[1] | 8 |
Marejeo
hariri- ↑ Ne-Yo - Stay - Music Charts αCharts. Accessed 20 Septemba 2008.