Stellarium (programu)
Stellarium ni programu ya bure yenye leseni ya matumizi ya bure kwa umma. Ni programu nzuri na mahususi kwa kuona anganje kupitia kompyuta au simu ya mkononi.
Programu hii inasaidia katika mambo ya astronomia na unajimu.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stellarium (programu) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |